Karibu, Jifunze Ukristo Tanzania

Tovuti hii, kabla julikana kama Taasisi ya Uongozi wa Kikristo Tanzania (TUK-Tz),ikilenga watu wote kujifunza kuhusu Neno la Mungu / Ukristo kwa undani, Kupitia makala ya kitheolojia, video, na sauti kulenga maisha ya Yesu Kristo, Masomo ya Biblia, Kanisa la Kikristo, na Mkristo kuishi kwa ajili ya familia.

Neno la Mungu linasema “Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe uliye peke yako Mungu wa kweli, na kumjua Yesu Kristo uliyemtuma – Yohana 17″ Kukua katika imani yako na kutembea pamoja na Kristo, kusoma kuhusu historia ya Ukristo, Wokovu, Uinjilisti na Uanafunzi!

Kua mmoja wa Familia hii na Mungu akubariki

“Tovuti zetu zingine; Kua Kibiashara & Dunia ya Wanyama

Elimu kwa Video

Bidhaa zetu

Mafundisho ya Biblia

Jiunge nasi

Washirika Wetu